Ndugu zangu,
Katuni hiyo hapo juu sikuipenda kwa vile soka haihusiani na mapanga. Lakini tukija kwenye leo, naomba niweke tafsiri sahihi ya mechi ya leo. Ni kwamba Ligi hapa kwetu ni Simba na Yanga. Sasa kama mechi ya kwanza Simba na yanga tulitoka droo ina maana bingwa halisi wa Tanzania atapatikana katika mechi ya leo. Hivyo, Yanga wanalazimika kutetea Ubingwa wao leo.
Na nionavyo, Simba tuna nafasi nzuri ya kuwafunga Yanga. Simba ya sasa ina kikosi kizuri chenye ari cha wachezaji vijana na wenye kiu ya ushindi. Yanga watacheza under pressure. Matarajio ni makubwa sana kutoka kwa wapenzi wao.
Naomba nitangulize salamu za pole kwa watani wetu wa jadi!
Maggid,
Iringa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments