Nimesoma gazeti la Mtanzania habari kubwa inazungumzia wingu jeusi, hususani suala la kutekwa na kuteswa Absalom Kibanda, kuna maswali kadhaa madogo ambayo nimehisi hayajaulizwa. Kama Ludovick alitekwa, akanyang'anywa vitu vyote vikiwemo simu, na computer yake, lakini pia nguo alipewa za kuazima, kadiri ya maelezo. Alitumia chombo gani kuweka habari zake kwenye facebook, (Simu na Computer ziliibiwa, lakini aliweka habari hizo mtandaoni kuelezea tukio hilo lililompata usiku na wengine waliomwona walisema alifika Muhimbili asubuhi kumjulia hali Kibanda, sioni uwezekano wa mtu aliyeibiwa kila kitu zikiwemo pesa, akapata wasaa wa kufikiri kwenda kwenye internet café asubuhi kununua muda ili aeleze jinsi alivyotekwa na kuwahi Muhimbili kabla hajaenda Polisi kufuatilia upelelezi wa kesi inayohusisha vitu vyake, tena vya muhimu, computer na simu na pesa. Ludovick hakujihurumia kwa upotevu huo wala kujishughulisha na ufutiliaji lakini akaamua kumhurumia Kibanda kwanza kweli??? |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments