Shikamoo
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwa jina naitwa Janet. Ni
msichana wa kitanzania mwenye tabia njema na maadili mema. Nina umri
wa miaka 20. Elimu yangu ni ya kidato cha nne. Nina uzoefu wa muda
mfupi wa kufanya kazi ya kuuza duka (Shopkeeper) hapa Dar es Salaam.
Kwa unyenyekevu, naomba kuwakilisha barua hii kama maombi ya kazi
yeyote itakayokuwepo katika biashara, kampuni au Shirika lako.
Nimeambatanisha maelezo binafsi kuhusu mimi (CV). Natanguliza
shukurani kwa kupokea na kuisoma barua hii. MUNGU AKUBARIKI SANA.
Wako mtiifu
Janet Justin
Dar es Salaam
-- Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kwa jina naitwa Janet. Ni
msichana wa kitanzania mwenye tabia njema na maadili mema. Nina umri
wa miaka 20. Elimu yangu ni ya kidato cha nne. Nina uzoefu wa muda
mfupi wa kufanya kazi ya kuuza duka (Shopkeeper) hapa Dar es Salaam.
Kwa unyenyekevu, naomba kuwakilisha barua hii kama maombi ya kazi
yeyote itakayokuwepo katika biashara, kampuni au Shirika lako.
Nimeambatanisha maelezo binafsi kuhusu mimi (CV). Natanguliza
shukurani kwa kupokea na kuisoma barua hii. MUNGU AKUBARIKI SANA.
Wako mtiifu
Janet Justin
Dar es Salaam
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments