
!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!
JUKWAA LA WAZI LA KIJAMII
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MADA ITATOLEWA NA MCHAMBUZI WA SERA; BADI DARUSI
MADA: MCHAKATO WA
BAJETI, 2013/14
Lini: Jumatano Tarehe 24/04/2013
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments