
!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA: KAKA DEUS KIBAMBA/ JUKWAA LA KATIBA
MADA: MREJESHO WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA NGAZI YA WILAYA
Lini: Jumatano Tarehe 17/04/2013
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments