[wanabidii] Wimbo wa Kigwangalla

Friday, March 01, 2013
Katika mambo ambayo hunikumbusha sana yaliyojiri mwaka 2010 wakati wa kampeni zangu za kihistoria za Ubunge ni pamoja na jinsi wananchi mbalimbali walivyojitoa kuniunga mkono kwa hali na mali. Sikuwahi kuwalipa chochote zaidi ya kujitahidi kuwatumikia kwa dhati. Kilichoambatanishwa na email hii ni wimbo nilioimbiwa na rafiki yangu mmoja kutoka kata moja ya Nzega (simtaji kwa maksudi tu). Ndugu, marafiki na watani zangu, sikilizeni wimbo huu wa kinyamwezi na mtafurahi!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments