[wanabidii] Tafadhali Usininukuu; Kwa Kutanguliza Ubinafsi Wetu....

Monday, March 11, 2013
Ndugu zangu,
"Na hakika, kwa kutanguliza ubinafsi wetu, tunawaandalia watoto na wajukuu wetu, mazingira magumu ya kuishi kwa amani katika nchi yao.

 Katiba Mpya ijayo, iwe ni kwa Tanzania ya leo, kesho na keshokutwa. Ni urithi wa maana na wa kistaarabu tutakaowaachia watoto na wajukuu zetu.

Na Tume Huru ya Uchaguzi, ni DHAMANA ya kipekee ya Amani na Utulivu tutakayowaachia Watanzania wa vizazi vijavyo.

 Maana, katika nchi zetu hizi,  mara nyingi  watu huanza kuchinjana kutokana na kukosa imani  na wenye kuhesabu kura; hivyo, Tume ya Uchaguzi. " Tafadhali Usininukuu.

Maggid Mjengwa,
Iringa.
http://mjengwablog.co.tz

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments