[wanabidii] Obama "apiga teke mlango wa Ofisi"

Tuesday, March 19, 2013
Wanajukwaa, technolojia inatumiwa vibaya au vizuri inategemea mtu anaitumia ana malengo gani.
Hii site http://www.youtube.com/watch?v=S0Tfu27Bz2w inamwonesha Rais wa Marekani anafungua mlango kwa kupiga teke.
Lakini uhalisia na kwamba Obama hakupiga teke mlango, bali alipita straight.

Kama wajanja wanaojua kucheza na technolijia wamefanya hivyo kwa Rais wa Marekani, lolote laweza kufanyika kwa ku-fabricate issues ya Rwakatare. Napendekeza weledi wa kutosha katika uchunguzi wa video inayomwonesha Rwakatare "akipanga mauaji/ugaidi" ufanywe.
Inawezekana kweli mtu mwenye akili timamu kupanga mauaji katika open space ya mgahawa kama ule ulivyoonekana katika sinema iliyo-postiwa na bukoba boy?

Kuna msemo unasema "time will tell" tutajua ipi mbichi, ipi mbivu
 
Fred 
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation 

Share this :

Related Posts

0 Comments