[wanabidii] Mtoto ashinda kiti cha Ubunge Kenya

Saturday, March 09, 2013
Mtoto wa miaka 19 ametengeneza historia kwa kuwa mtoto wa kwanza Kenya kuwa mbunge akiwa na umri wa miaka 19 tu.  Kibiwott Munge, ambaye amegombea ubunge kupitia chama cha URP, ameshinda katika jimbo la  Lembus Perkera huko Baringo kwa kura 3,333 hivyo kumfanya aandike historia ya kuwa Mkenya wa kwanza mdogo zaidi kupata ubunge.
Kufuatia ushindi huu, watu mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa Sekondari  aliyowahi kusoma iitwayo Tenges Boys High School, wanafunzi walishangilia kwa furaha kuu ushindi huu wa Mbunge wao Kibiwott. 

Zaidi soma hapa: http://goldentz.blogspot.com/2013/03/mtoto-ashinda-kiti-cha-ubunge-kenya.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments