[wanabidii] Hongera Mnyika- NENDA KAMWAMBIE HAYA

Thursday, March 21, 2013
Hello Wandugu,

Nimepata taarifa kwanba Ndg. Mh Mnyika anakwenda kuonana na mkuu wa nchi Jtatu kuhusu hoja yake ya Maji katika jiji la dar,

Nimeona tuandike hapa ili kuhakikisha ndugu yetu anaongea na mzee mambo muhimu, tumpe hints,

1). Kuna watu wamekwamisha miradi ya Maji, World bank walitoa a lot of Money, nasikia some Billions lakini utekelezaji wa mradi huo bado uko mashakani
2). Issue ya Maji ya Mchina, Kimara na Vitongoji vyake utekelezaji wake was not effective, Sisi watu wa Kimara Kilungule, kuna kada mmoja wa chama alikwamisha maji kwenda kilungule B, kwa sababu yeye anauza maji ya chumvi ya kisima alichochimba yeye
3) Uchimbaji wa visima. Kilungule B, Raisi aliahidi visima vitatu, tunashukuru kimoja kimechimbwa karibu na shule ya msingi kiwanjani, na kinafanya kazi ila maji ya chumvi, kingine kimechimbwa maji yamepatikana lakini hayajasambazwa na hakuna taarifa yeyote, cha tatu kilichimbwa karibu na huyo kada wa chama, lakini kwa sababu ya fitina ikasemekana maji yaliyopatikana si salama hivyo hakifanyi kazi

Naomba nenda kawakilishe haya kwa mzee,

Hongera sana kamanda, tutamaliza hili la maji, tutakuja mengine ya Barabara, Uchafu, Elimu ect ect

Thanks

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments