Baada ya kusoma na kutafakari! nagundua kua, kuna Mungu wawili! Mwenye huruma na Upendo ampendae adui yake na asiye wa kisasi.
Na wapili ni yule Mwenye huruma na Upendo kwa rafiki yake tu, na ambae humchukia adui yake na kwake visasi na mauaji kwa adui yake hua ni ruksa.
Je tutafika?
0 Comments