[wanabidii]

Monday, February 04, 2013

Ajiuzuru kwa lipi sasa ndugu Yachama. Zimamoto.wanakagua na kutoa certificate kuwa mambo yako salama kwa kuwa na vifaa vya kuzimia moto ukitokea.

Certificate hazittolewi ili moto usitokee bali kama ukitokea kifanyike nini na kuona kama jengo lilivyoo na vifaa vilivyowekwa vinafaa kuzimia moto.

Hata hivyo. vikosi vya zimamoto.na uokoaji kwa.sasa haviko Halmashauri bali kuanzia mwaka jana Jullai vimerudishwa kwa Kamishina waa Zimamoto wizara ya mambo ya ndani.

Sent from Yahoo! Mail on Android

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments