[wanabidii] Ujumbe wa muungano ulipelekwa UN na Tanganyika ?

Monday, February 04, 2013

Nimejaribu kadiri ilivyowekezana kufanya utafiti wa mtandao wa kutosha kujaribu kutazama kama kuna uwezekano wa kupata majibu au ushahidi wa vitu 2 muhimu katika n'gwe hii ya muungano.Vitu au masuali hayo ni:

  1. Ushahidi wa Baraza la Mapinduzi kuridhia "articles of the union".Watanganyika wanao ushahidi huu tazama hapa utaona kama bunge lao liliridhia muungano.Ushahidi wa Zanzibar uko wapi ?
  2. Waraka wenye saini ya Marehemu Sheikh Abeid Amaan Karume uko wapi ?

Nadhani tukipata majibu hayo wengi wetu tutaondokwa na kiu ya kutaka kujua kilichotokea miaka ile ya 1964.Bado nasisitiza hata kuonekana kwa nyaraka hii hakupelekei kutuzuia vijana kudai uhuru na mamlaka kamili ya visiwa vya Zanzibar.Kitachofanyika labda ni kuondoa dhana kama Nyerere alivamia visiwa vya Zanzibar, na kuwafanya vijana waone kama kweli muungano ulipitia sheria na taratibu zilizokuwapo wakati ule.

Nayarudia haya, baada ya kuona kama vile Dr.Shein na wenzake wadhania kupatikana kwa nyaraka ndio kufumba vijana mdomo.Huko ni kuota na kujidanganya tena mchana!Kinachodaiwa ni mamlaka na uhuru wa Zanzibar ndani ya muungano, sio nyaraka…kamwe.

Kilichojitokeza katika utafiti huu ni kinyume kabisa na Dr.Shein anavyojaribu kutufanya tuamini.Kila nikipekura, kitu kimoja kinaibuka wazi nacho ni "Wizara ya mambo ya nje ya Tanganyika" ndio iliopeleka ujumbe UN na kuwaambia kama Baraza la Mapinduzi limeridhia "articles of the union".

UN inakwenda mbali na kujisafisha kwa kusema kuwa haijafanya utafiti wowote na hakukua na mtu aliepinga maamuzi ya kufutwa kiti cha Zanzibar ndani ya UN.Hio ndio conclussion yangu baada ya kuhangaika kwa mda mrefu!Sasa labda nifanye safari ya New York kama atakavyo Duktuur!!

Nyaraka mbili tatu nilizokumbana nazo:

United Republic of Tanzania
Note 1.

The People's Republic of Zanzibar was admitted to membership on 16 December 1963 by Resolution No. 1975 (XVIII). For the text of the Declaration of acceptance of the obligations contained in the Charter dated 10 December 1963 made by Zanzibar (registered under No. 7016), see United Nations, Treaty Series , vol. 483, p. 237.

In a note addressed to the Secretary General on 6 May 1964, the Ministry of External Affairs of the United Republic of Tanzania informed him that, following the signature and ratification of the Articles of Union between the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar, the two countries had been united on 26 April 1964, as one sovereign State under the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar. The Ministry further asked the Secretary-General "to note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar declares that it is now a single Member of the United Nations bound by the provisions of the Charter, and that all international treaties and agreements in force between the Republic of Tanganyika or the People's Republic of Zanzibar and other States or international organizations will, to the extent that their implementation is consistent with the constitutional position established by the Articles of the Union, remain in force within the regional limits prescribed on their conclusion and in accordance with the principles of international law".

In communicating the above-mentioned note, in accordance with the request contained therein, to all States Members of the United Nations, to the principal organs of the United Nations and to the subsidiary organs of the United Nations to which Tanganyika and Zanzibar had been appointed, and to the specialized agencies of the United Nations and the International Atomic Energy Agency, the Secretary-General stated that he "is taking action, within the limits of his administrative responsibilities, to give effect to the declaration in the attached note the United Republic of Tanganyika and Zanzibar is now a single Member of the United Nations bound by the provisions of the Charter. This action is undertaken without prejudice to and pending such action as other organs of the United Nations may take on the basis of the notification of the establishment of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar." No objection was raised in this regard in any of the organs concerned.

In a communication addressed to the Secretary-General on 2 November 1964, the Permanent Mission of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar informed him that "the United Republic of Tanganika and Zanzibar shall, with immediate effect, be known as the United Republic of Tanzania".

Subsequently, the Government of the United Republic of Tanzania confirmed to the Secretary-General that the United Republic of Tanzania continues to be bound by multilateral treaties in respect of which the Secretary-General acts as depositary and which had been signed, ratified or acceded to on behalf of Tanganyika.

chanzo:

Waraka uliotumika kuwajuulisha wajumbe wa umoja wa mataifa:

Note of the UN to Security Council notifiying about the Union between Tanganyika and Zanzibar by

REFERENCE:

http://www.un.org/depts/dhl/unms/unitedrepublicoftanzania.shtml

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments