taarifa zilizotufikia kutoka msikiti wa mtambani zinaekleza kuwa waislam wameanza kuandamana huku kikosi cha kutuliza ghasia kikiwa tayari kimezingira msikiti huo. mmoja wa mashuhuda ameliambia Tanpress kwamba ameona majibishano makali ya maneno kati ya Polisi na waislam yakiendelea wao wakidai wanaandamana. hata hivyo inavyoonenkana wamewazidi ujanja Polisi kwani Mwandishi wa Tanpress ameshuhudia Polisi wakiwa jangwani na magari yao wakisubiri maandamano huku vijana wa kiislam waliojiweka vikundi vya watu watatu au wawili wakipita mbele yao na kuelekea katikati ya jiji zilipo ofisi za DPP |
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments