[wanabidii] Pata vitabu 2 kwa bei poa

Wednesday, February 06, 2013
Pata vitabu 2 vya Mbinu za biashara sehemu 1&2 kwa bei poa

Ninatoa ofa kabambe sasa nauza vitabu 2 kwa bei ya sh. 5000 ukinunua kimoja cha pili unapata zawadi. Nunua  Kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri sehemu ya 1 na 2 kwa bei ya sh. 5000 tu. Kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya 1 ni kitabu kinachopendwa, kimewasaidia wajasiriamali wengi kupata mbinu za kujikwamua kutoka kwenye umasikini na nimefanikiwa kuuza nakala 5,000 kwa miaka 3. Kitabu cha mbinu za biashara sehemu ya 2 ni moto wa kuotea mbali kwani kinatoa mbinu za hali ya juu za ujasiriamali katika mambo ya uwekezaji, pesa na uendeshaji wa biashara. 

Ukitoa sh. 5000 unaweza kuvipata vitabu 2, Mbinu za biashara sehemu ya 1 na 2, kwenye email yako kwa mfumo wa PDF. Kwa wale wanaohitaji wanaweza kunitumia Sh. 5,000 kwa M PESA kwenye simu namba 0755394701 kisha kunitumia email zao na mimi nitawatumia email iliyoambatanishwa na kitabu sehemu ya 1 na sehemu ya 2.
http://mshauriwabiashara.weebly.com/

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments