[wanabidii] Lowassa: Najivunia UVCCM imepiga hatua

Thursday, February 21, 2013
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, ametamba kuwa anajisikia furaha kwa kutimiza ndoto yake ya kuujengea uwezo, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (UVCCM), ndiyo maana akaomba asichaguliwe tena kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Udhamini la umoja huo.

Akizungumza na Mwananchi ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, alisema amekuwa mwenyekiti wa baraza hilo kwa miaka 15 na kwamba ameliongoza kwa mafanikio.

 Habari zaid soma hapa:  http://goldentz.blogspot.com/2013/02/lowassa-najivunia-uvccm-imepiga-hatua.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments