Samahanini, wenye blog (ZANZINEWS) hawaruhusu kukopi habari zao.
Hizi habari ni kutokana na mkutano na waandishi wa habari aliyoufanya Askofu Shayo leo Zanzibar.
N.B.
Sitaki kutukanwa kama jana. Mimi ninawahabarisha tu na sio niliesema maneno anayotamka Askofu!
I am just forwarding this news and not the maker of the news!
Naona wengine jana wananishambulia mimi personally, wakati zile habari hazikuwa zangu.
Niliandika wapi nilizipata na nani aliandika, lakini still wengine walinishambulai mimi.
Kwa kweli Kaka Matinyi hakukosea kutulinganisha na mbwa, kwani wengine hatuna akili na
wala hatufikiri kabla hatujaandika hapa ukumbini!

0 Comments