
!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI DEUS KIBAMBA/TCIB
MADA: UCHAMBUZI WA KIJINSIA KUHUSU VING'AMUZI, UPATIKANAJI WA TAARIFA NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA
Lini: Jumatano Tarehe 06/02/2013
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments