[wanabidii] FW: NAPE NNAUYE, MWIGULU NCHEMBA NI WANASIASA AU WACHOCHEZI?

Saturday, February 23, 2013

Binafsi sijawahi kuwaona hao jamaa wakihutubia mikutano ya hadhara au kujadili kwenye vipindi mbalimbali  bila kutukana,kukashifu,kusingizia au kumuongelea Mtu au Chama pinzani hawa jamaa ni wanasiasa au wachochezi?

 

Share this :

Related Posts

0 Comments