ALLAHABAD, India, Mamilioni ya wai wa dini ya Hindu leo Jumatatu wameanza hija yao ya kuoga katika makutano ya mito mitatu ya Ganges, Yamuna na Saraswati inapokutana. Kwa mujibu wa Imani ya Kihindu, binadamu anakuwa ametenda dhambi nyingi katika mzunguko wa mwaka na hivyo anahitaji kutakaswa na dhambi zake.
Picha na habari kamili bofya hapa: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/sherehe-ya-kuoga-uchi-katika-mto-ganges.html--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments