[wanabidii] Sad news

Saturday, January 19, 2013
Jamani jamani hawa watu wanaotapeli watu hv hawajui na mwez wa kutapeli? Januar hawapat mtu, halafu na namna walivyojeleza hakuna mtu ambaye angewasikiliza namna walivyotoa maelezo yao fake kua et uk,police hawakuwasikilza na eti hadi ubalozi wetu? Hao wanigeria wamepotea njia kiukweli

----------
Sent via Nokia Email

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments