[wanabidii] KUMTEMBELEA PROF WAMBA DIA WAMBA LEO

Sunday, January 20, 2013
Kukutana ni kituo cha mafuta BP ( PUMA ) Pembeni ya kituo cha mabasi mwenge , Kwa wale wanaotokea Chuo kikuu cha Dar es salaam tunaweza kuwasiliana kabla kama tunaweza kupitiana kwa ajili ya kwenda mwenge na mikocheni .

Kutakuwa na upigaji wa picha za video na kurekodi pamoja na mahojiano kwa wale watakaoenda .

Kama unachochote cha kugawa kama ni vijarida , vitabu au business card tafadhali fika nayo .

O786 806028 

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments