Dear All,
Tuacheni hayo ya Muungano kidogo, kwani ninajua tutakuja kufahamiana tu baada ya miaka 49 kupita.
Lakini, linalonitia mimi wasiwasi sasa hivi ni kuona Rais wetu anakutana na mke wa Rais wa Mali mama
Touré Lobbo Traoré uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada
ya kuwasili tayari kuanza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu.
Is this a coincidence huyu mke wa Rais wa Mali kukutana na Rais wetu uwanja wa ndege wa Paris au
pana kitu hapa jamani kinapikwa?
Kama ni kuombwa kupeleka majeshi yetu Mali wengi wetu tutasema NO,NO,NO!!!!
...bin Issa.
0 Comments