[wanabidii] TOA DAKIKA MOJA KWA UKIMWI

Saturday, December 01, 2012

Tanzania Bila Maambukizi Mapya, Unyanyapaa na vifo vitokanavyo na Ukimwi Inawezekana"

Wadau nimekumbuka project hii niliyoifanya huko Zambia miaka michache iliyopita. Lengo langu kuu lilikuwa ni kuweka bayana jinsi wagonjwa wa Ukimwi wanavyojisikia pindi wanaponyanyapaliwa. Katika Slide show hiyo utaona wengine wamediriki kusema kuwa hata Mungu hayupo. Sisi tulio wazima tumejijengea tabia hii ya kuwanyanyapaa wagonjwa wa Ukimwi kiasi kwamba tunawaona kama nusu binadamu. Ikumbukwe kwemba, familia zetu nyingi zimefikwa na mahasibu haya. Kama sio mwana, mkeo, mumeo, mjukuu, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, mama mkubwa, mama mdogo, shangazi, binamu, mkwe, mpwa basi ni wewe mwenyewe. Hakuna atakayeweza kusimama na kusema kuwa hajawahi kukutana au kufiwa na ndugu wa karibu kutokana na janga la Ukimwi
Habari Zaidi na picha tazama katika blogu yangu:  http://goldentz.blogspot.com/2012/12/toa-dakika-moja-kwa-ukimwi.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments