[wanabidii] Tanzania yaifunga Kenya 5-0

Sunday, December 09, 2012
Timu ya soka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imeifunga timu ya wenzao wa Kenya mabao matano kwa nunge katika mchezo mkali uliochezwa jijini Nairobi. Awali timu ya wabunge wa Uganda na wa Rwanda walitoka sare ya bao 1-1. Timu ya Tanzania inaundwa na wabunge wa vyama vyote na hata mabao yalipatikana kutoka kwa wafungaji wa CCM na Chadema na wote ni washabiki wa Simba.
 
Kwa taarifa zaidi na picha nenda hapa: http://issamichuzi.blogspot.com/

Share this :

Related Posts

0 Comments