[wanabidii] Tanzania Bara kuumana na Uganda

Tuesday, December 04, 2012
Uganda imeifunga Ethiopia 2-0.
 
Nashukuru kuwa utabiri wangu unaendelea vema.
 
Sasa Uganda itafungwa na Tanzania Bara bila huruma.
 
Kama kawaida, Zanzibar itaifunga Kenya.
 
Fainali itakuwa kati ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.
 
Uganda na Kenya wasubiri kuwania nafasi ya tatu.
 
Asante,
 
Matinyi.

Share this :

Related Posts

0 Comments