Samahani naomba kuchukua fursa hii kukuhamasisheni ninyi nyote mtoe
maoni yenu ya katiba mpya. Mimi nilifanikiwa kutuma jana kama e-mail
iliyohapa chini inavyoonesha. Nakuombeni kila mmoja avae vazi la
uzalendo na kuandika yale unayoona yanafaa kuwa katika katiba yetu mpya.
Watanzania tulio wengi na hasa sisi tuliosoma tunaugonjwa wa kutotaka
kuandika na kusoma; na huu ndio ugonjwa sugu unaorudisha nyuma maendeleo
ya nchi yetu.
Nimeambatanisha maoni yangu si kwa lengo la ninyi kuchambua ila kama
kichocheo cha tafakuli. Najua maoni yangu yanamapungufu mengi na hivyo
macho ya wengi watakaoandika wanaweza kuboresha na kutufanya tuwe na
katiba bora kuliko zote duniani.
Mungu akubarikini nyote.
Lunguya
---------- Forwarded message ----------
From: Marcel M. Lunguya <lunguya@gmail.com>
Date: 2012/12/20
Subject: Maoni yangu ya Katiba Mpya 2012
To: maoni@katiba.go.tz, katibu@katiba.go.tz
Katibu,
Naomba kuchukua fursa hii kuwasilisha maoni yangu ya Katiba Mpya.
Asante
Marcel Lunguya
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments