good grades or certificate. IMED organizes success seminars for various
groups and in January 2012, we bring you the following:
SEMINA YA MBINU ZA MAFANIKIO NA UJASIRIAMALI KWA VIJANA
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED) wameandaa
semina ya siku moja kwa wahitimu wa kidato cha nne kwa lengo la
kuwawezesha vijana kuweza kutumia fursa zilizopo (elimu na mazingira
yanayowazunguka) kuweza kujenga misingi imara ya mafanikio endelevu.
MADA
Mbinu za mafanikio na tabia za kijasiriamali; ni vitu gani kijana
anatakiwa afanye ili aweze kupata mafanikio endelevu ya kiuchumi
(biashara), kielimu na kijamii pamoja na namna ya kujenga na kuendeleza
mbinu za kijasiriamali.
MBINU ZA KUWASILISHA
Wataalamu wenye uzoefu kuwasilisha mada, kushirikishana uzoefu na
washiriki, majadiliano katika vikundi, video, picha, visa mafunzo, n.k.
MUDA NA MAHALI
Semina hii itafanyika tarehe 19th January 2013 ukumbi wa Shule ya
Sekondari TAMBAZA, Dar es Salaam kuanzia saa 8:30 asubuhi mpaka saa 2:00
pm.
GHARAMA
Semina hii ni bure (hakuna kiingilio) na ni mahususi kwa vijana
waliomaliza kidato cha nne.
KUJIANDIKISHA NA MAWASILIANO
Fika ghorofa ya saba – MWALIMU HOUSE, Ilala boma, Dar es Salaam au piga
simu Na. 0712 452 757 au 0765 111 100 au barua pepe: nyenzajr@gmail.com.
Waweza kututembelea pia katika tovuti yetu ya: www.imedtz.org.
--
"Give your energy to things that give you energy.",
"Learn enough to begin and then learn as you go."
Dr. Donath R.Olomi
Chief Executive Officer
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
Mwalimu House 7th Floor, Ilala
P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
www.imedtz.org
Mobile +255-754-296660
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments