[wanabidii] mpyaaa kutoka chadema

Thursday, November 01, 2012
Haha hawa chadema wakikutengaa utajuta,sikia kali hii  eti kuna tetesi kuwaa, zitto akiibua jambo linaripotiwa kwenye vyombo vyaa habari kuwa hilo ni la Mbunge wa kigoma kaskazini.

lakini kiongozi mwingine akisema jambo linahesabika kama ni msimamo wa chadema ,kwa hiyo sasa Zitto anahesabika kama taasisi ndani ya chadema inayojitegemea.

kali zaidi ambayo hujasikia ni kwamba zitto amedaiwa kuwa ana miaka kadhaa hajakanyaga makao makuu ya chama kwa maelezo kuwa hana ofisi kama naibu katibu mkuu hivyo ameamua kuhamishia ofisi yake kwenye face boook.

madai ya naibu katibu mkuu kukosa ofisi yaliwahi kumkumba aliyekuwa mamakamu Mwenyekiti ,Hayati Chachaa Wangwe ikabidi ahamishie ofisi yake wilaya ya kinondoni ambayo hata hivyo viongozi waliompokea baadaye waliitwa waasi wakafukuzwa uanachama.

hata pale Wangwe alipoitisha maandamano ya kwanza ya chadema jijini dsm kutoka tabata dampo  hadi mchikichini, yaliitwa maadamano ya wangwe na waathirika wa tabata dampo badala ya chadema.

tetesi zaidi ni kwamba Naibu katibu mkuu huyo ameamua kuanzisha gazeti moja la kila wiki ili awe kama mwenyekiti wake F MBOWE, AKIWA TAYARI KUPAMBANA KWENYE NAFASI YA MWENYEKITI KABLA YA KUTINGA KWENYE URAIS 

  

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments