"VIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar wamefikishwa tena mahakamani jana chini ya ulinzi mkali
wa jeshi la polisi kwa kusaidiana na vikosi vya serikali ya Zanzibar huku Mawakilishi wao wakiendelea kulalamikia serikali kukiuka
haki za binaadamu na utaratibu mzima wa kisheria wa uendeshaji wa mashtaka dhidi ya wateja wao."
N.B.
Kaka Tony,
Kwa taarifa ya hapa juu ukumbi unahabarishwa tu kama ilivyokawaida ya Zanzibar Ni Kwetu.
Hutakiwi usaidie kwa chochote!
0 Comments