[wanabidii] M4C KUIKABILI CHADEMA 2015

Tuesday, November 20, 2012
Chukua Hii

Gari imepita njiani ina mabango ya M4C watu wanashangilia wananyoosha
vidole juu .

Baada ya muda gari ina mabango ya CHADEMA watu wamekaa kimya kama vile
hakuna kitu .

Hii ina maana gani kwetu ?

Maana yake ifikapo mwaka 2015 tunapoingia kwenye uchaguzi mkuu watu
wataangalia M4C ilipo ili waipigie kura sio CHADEMA .

CHADEMA hawajajifunza kwa CUF na kauli yao ya jino kwa jino ambayo
ifikapo uchaguzi watu wanasahau yote .

Maisha yangu yote pamoja na mapungufu ya CCM sijawahi kuona wakija na
kauli mbiu zinazozidi nguvu chama chenyewe kama CUF ilivyozidiwa
nguvu na Ngangara ,CHADEMA inavyozidiwa Nguvu na M4C

Tukae mkao wa kula mwaka 2015 Watu wataangalia M4C

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments