From: Victor Mbombo <vmbombo@msd.or.tz>
Date: Tue, Nov 20, 2012 at 11:15 AM
Subject: Fwd: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
To: franznangela@yahoo.com
Cc: filbert <assey@yahoo.com>, kilasara fratern <kilasara.fratern@gmail.com>, charles1nolasco@yahoo.com, songuo_shayo@yahoo.com, NEEMA NDOSSA <neyndossa@yahoo.com>
To: "All MSD Staff" <msdstaff@msd.or.tz>
Sent: Tuesday, 20 November, 2012 7:36:04 AM
Subject: Fwd: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
To: dkingu@msd.or.tz
Sent: Monday, November 19, 2012 5:58:48 PM
Subject: FW: HALI SASA INATISHA CHUKUA TAHADHARI
Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni daktari wa lugaro hosp na kumuulizia habari za mwanae ambae alishawahi kwenda kumtibu pale na chakushangaza zaidi akataja mpaka aina na rangi ya nguo aliyovaa siku ile alipokwenda hapo hospitali na yote yalikuwa kweli. Na zaidi akamwambia najua sasa hivi unaelekea chuo buguruni na kweli ilikuwa hivyo, lakini mwishoni akamweleza kwamba kuna mambo anataka kujua kujua kuhusu hicho chuo hivyo nae anaelekea huko hivyo akifika tu atamtafuta. Kwa muda wote huo huyo dada hakuweza kabisa kumkumbuka ila akajipa moyo kwamba yamkini huyo mtu atakuwa anamfahamu vizuri.
Baada ya kutoka chuo akiwa na wenzake watatu akawa anawasimulia habari za huyo mtu ndipo simu yake ikaita,kupokea yule mtu akamwambia nakuona uko na wenzio wawili mnavuka barabara na kumueleza jinsi alivyovaa sasa wenzie wakasema huyo mtu anakufahamu haiwezekani hapa tupo watatu kweli na ameweza kukutambua. Kisha huyo mtu akamwelekeza mahali alipo ambapo haikuwa mbali na barabara.
Lakini alipomtazama hakumfahamu kabisa, basi akampa mkono kumsalimia, baada ya hapo hakujitambua na zaidi alijikuta yuko maeneo ya chuo kikuu cha DSM akiwa hoi. Kuangalia simu na kila kitu chake kilikuwa salama na hakufanyiwa kitu chochote, kwa bahati kulikuwa kuna ndugu yake anasoma chuo hivyo akawasiliana nae ili kupata msaada ikabidi awahishwe mwananyamala hosp lakini ikaonekana sumu iliyotumika ni kali na dawa yake wanayo regency hosp,hivyo akawahishwa regency na kupata matibabu.
Baada ya ufahamu kumrudia akakuta mtu huyo kachukua pesa zote kwenye mpesa,tigo pesa na bank ( NMB na CRDB) kiasi cha milioni 3, hivyo inawezekana walipompa sumu alitaja password pasipo kujijua.
Na bank walipotazama kwenye ATM Camera waliona picha ya huyo mtu na yeye alimkumbuka vizuri, lakini polisi Kijitonyama wakakiri kwamba kesi hizo sasa hivi zimetokea mara nyingi na huo mtandao ni mkubwa, walipoenda kwenye usajili wa simu walikuta ni huyo huyo na jina lake ndilo alilojitambulisha.Ingawa polisi wameshindwa kumkamata.
Akiwa kituo cha polisi mara huyo mtu akampigia simu akimwambia ''kumbe wewe ni muoga sana tutakurudishia pesa zako''. Sasa kumbe wanachofanya wanakuambia'' tutafutie mtu ambae unahisi ana pesa kuliko hizi halafu tukifanikiwa tutarudisha pesa zako'' hivyo inawezekana nae kuna mtu anaemjua alifanyiwa hivyo akaamua kumtaja yeye.
HIVYO NI KUOMBA MUNGU NA KUWA WAANGALIFU
Fedister Agrey,
Petroleum Engineer,
Tanzania Petroleum Development Corporation,
BMW Tower/Azikiwe street,
P.O.Box 2774,
Dar es Salaam,Tanzania
Important Notice:
The National Bank of Commerce Limited is a registered Commercial Bank in the United Republic of Tanzania.
This e-mail and any files transmitted with it are confidential and intended for the use of the individual or entity to whom they are addressed.
Please note that there are terms and conditions and some important restrictions, qualifications and disclaimers ("the Disclaimer") that apply to this email. To read this click on the following address or copy into your Internet browser:
http://www.nbctz.com/disclaimer/email
The Disclaimer forms part of the content of this email.
DISCLAIMER: This e-mail and any attachments are proprietary to TANZANIA REVENUE AUTHORITY.Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of TANZANIA REVENUE AUTHORITY. This e-mail is only addressed to the addressee and TANZANIA REVENUE AUTHORITY shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, print, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.
Standard Bank email disclaimer and confidentiality note
Please go to http://www.standardbank.co.za/site/homepage/emaildisclaimer.html to read our email disclaimer and confidentiality note. Kindly email disclaimer@standardbank.co.za (no content or subject line necessary) if you cannot view that page and we will email our email disclaimer and confidentiality note to you.
This email and any attachments may contain confidential information for intended recipient only. If you have received this email in error please notify the sender. Note that any copying, disclosure or distribution of the message is strictly prohibited. Email recipient(s) should check this email and any attachments for viruses. Tanesco will not be liable for any damage caused by virus.
Scanned by MSD MailMarshal
DISCLAIMER: This e-mail and any attachments are proprietary to MSD.Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of MSD. This e-mail is only addressed to the addressee and MSD shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail.
Save the environment and print this e-mail only if you really need to.
--
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments