[wanabidii] AT LAST MEDIA COUNCIL OF TANZANIA (MCT) WAKES UP FROM A DEEP SLUMBER!

Sunday, November 04, 2012
At last hawa jamaa zetu (MCT) wameamka kutoka usingizini baada ya wiki mbili ya kuzuiwa kwa vyombo vya habari vya Zanzibar kupita!
Siku zote hizi sijui walikuwa wapi.
"BARAZA LA HABARI TANZANIA MCT LIMESHTUSHWA NA TAARIFA YAKUZUIWA 
KWA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR KUTANGAZA KHABARI ZINAZOHUSIANA NA JUMUIYA YA UAMSHO 
NA MIHADHARA YAKIISLAM ZANZIBAR."


Share this :

Related Posts

0 Comments