--- On Mon, 11/19/12, godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com> wrote: From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com> Subject: [wanabidii] Makamu Mwenyekiti Phillip Mangula To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, November 19, 2012, 2:58 AM
Nimemwona Mhe. Mangula akiahidi kuwa CCM itakuwa safi baada ya muda mfupi! Kwamba wala rushwa, wapokea rushwa na wapambe wao wote watatimuliwa nje ya CCM!! Pamoja na utumishi wake uliotukuka, nampa tahadhari kwani mbwembwe kama hizo tulishawahi kuzisikia kwa Mhe. Nape wakati wa falsafa iliyofeli ya kuvua gamba!! Halafu, lazima Mangula akumbuke kuwa yeye si mwana mtandao, na akijua hilo, awe tayari aidha kukaa kimya au atekeleze aliyoahidi kwa gharama za kurudi kulima nyanya any time!! Akiwagusa wazee wa mtandao hatasalimika, hilo alijue bila kificho! CCM anayoitangaza Mangula, haipo tena "ilikufa" na Nyerere! Hii ya sasa inatumia nembo na bendera ya "ile ya zamani" lakini haipo akilini mwa watu wanaomzunguka!!! Ni mtazamo tu!! | -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Share this :
0 Comments