Watu mbali mbali wamejeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi…
Watu hao wamepigwa baada ya kufuatwa majumbani mwao nyakati za usiku na kutakiwa kutoka nje na kupigwa huku baadhi yao wakiwa wamelazwa hospitali wakipatiwa matibabu.
0 Comments