Nasikitika kwamba kiongozi na aliyekuwa moderator wa jukwaa letu la
wanabidii ambae kwa sasa ni bwana mawasiliano kwenye chuo kikuu cha
umoja wa Afrika ameniibia mawazo yangu na kuyatumia bila idhini yangu
kwenye gazeti la Tanzania daima
http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=41862 na kibaya zaidi
amebadirisha mpaka na title ya awali kwenye makala husika ambayo pia
aliiweka hapa wanabidii bila kuni acknowledge huku ikionekana kama
yeye ndio muandishi husika.
Nilichelewa kuiweka hapa ila kwa mshangao niliikuta makala ikiwa
tayari imeanza kujadiliwa, kwa kuwa mimi ni mwanachama hapa nikaona
niwe mpole kwani nilichukulia kuwa huenda ameghafirika japo takwa la
kitaaluma ni kuheshimu na kutambua mawazo ya mtu mwingine.
Kama alighafirika kuiweka hapa bila kunitambua kuwa mimi ndio
muandishi, je niendelea kuamini kuwa ameghafirika tena kwa kuibadili
heading na makala hiyo hiyo kupewa jina lake?
--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Facebook: Mohamedi Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Jf: Mohamedi mtoi
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments