[wanabidii] Wafuasi wa Uamsho Waanzisha Vurugu Zanzibar

Thursday, October 18, 2012
Taarifa zinasema vurugu zimeanza tena huko Zanzibar maeneo ya Mbuyuni
baada ya vijana kujikusanya na kuandamana kudai kuachiwa kuongozi wao
aliyetekwa juzi usiku saa 2 .

Taarifa zaidi zinasema mpaka sasa ni Askari polisi mmoja aliyeuwawa na
waandamanaji hao toka waanze vurugu jana kwa mapanga na salaha
nyingine .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments