[wanabidii] Updates: Hukumu ya Rufaa ya Lema – Oktoba 02, 2012 - Mwanzo

Tuesday, October 02, 2012
Bado ukumbi umetulia, namwona Cecilia Pareso ameingia.

- Kamanda Lema ameingia, namwona na wapinzani wake kwenye kesi hii Musa Mkanga na Agness Mollel nao ndani ya nyumba.

- Majaji wameingia. Kesi imeanza…

- Method Kimomogoro na Lissu wanawakilisha rufaa.

- Upande wa pili unawakilishwa na Modest Akida na Alute.

- Wote wapo tayari kuendelea na shauri.

Chande: Leo waanasikiliza pingamizi za awali kwanza


http://wotepamoja.com/archives/7857#.UGqLhUYUBG0.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments