[wanabidii] Taarifa rasmi ya Serikali ya Zanzibar kuhusu Vurugu iliyotokea leo! Wednesday, October 17, 2012 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewataka wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimedhibiti hali ya ulinzi na imeimarishwa katika maeneo yote ya Zanzibar.http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/serikali-yazungumza-kuhusu-vurugu-ya-leo.html#more Share this : Digg Linkedin Stumbleupon Delicious Tumblr BufferApp Pocket Evernote
0 Comments