SERIKALI imetakiwa kuwa makini katika usajili wa Taasisi mbalimbali hususan zinazohusiana na masuala ya dini ikiwa ni pamoja na kufuatilia huduma za taasisi zilizosajiliwa nchini ili kudhibiti taasisi zinazojisajili tofauti na kazi wanazofanya.
Aidha, imetakiwa kuchunguza taasisi zote zinazofanya huduma na zile zisizosajiliwa wasifanye shughuli yoyote mpaka wasajiliwe huku wakidhibiti mapema taasisi au mtu ambaye ni hatari kwa nchi bila kusubiri hali kuwa mbaya kwani inasababisha kuota mizizi na kusababisha madhara kwa wasio na hatia.
http://wotepamoja.com/archives/9389#.UIPQukNxrIw.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments