miaka 50 imepita tangu tupate uhuru nchi yetu haina vipao mbele vya kudumu. Chama tawala ndicho kimekuwa kikija na vipao mbele vyake ambavyo vimekuwa vikibadilika kila mara. Ni vema tukaweka vipao mbele vya kudumu ili wagombea wetu katika ngazi mbalimbali tuwapime kwa kuangalia uwezo wao wa kutekeleza vipao mbele hivyo. Na si kila raisi kuja na vipao mbele vyake. Kama kutakuwa naja ya kuviongeza au kuvipunguza, basi bunge letu litafanya kazi hiyo.
Nawakilisha.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 Comments