[wanabidii] NGUMU KUMEZA ILA NDO UKWELI; MTAZAMO KTK VURUGU HIZI ZA KIDINI

Tuesday, October 23, 2012
Nimekuwa nikifuatilia sana jamabo hili ila Kwangu mimi nani yupo rumande au kashikiliwa na nani mi sio ishu... ishu ni kwamba kwanini tupo hapa leo kwani haya machungu yalikuwepo tangu cku nyingi mno!!!! There is a great connectivity ya haya na hali ya kiuchumi ambayo ni zao la utendaji mbaya wa serikali hii isiyo wajibika na sisi wananchi tusiowajibika!! Na ndio maana kila jambo dogo linapandisha hasira za wananchi mara dufu!!
 
NI NGUMU KUMEZA ILA NDO UKWELI!!!



Regards,

Mugittu, Zephaniah,

Cell: +255 784 769 481

Skype: Zephaniah N.N. Mugittu

 

No matter how high one is talented , business acumen still a necessity

"Poverty is a result of attitude ..."

 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments