Ndugu wanabidii,
Naombeni tumpigie kura huyu ndugu yetu Mtanzania anaomba research grant kwaajili ya research ya magonjwa. Yeye nimfanyakazi wa National Institute for Medical Research (NIMR)-Tukuyu. Utaratibu wa kupiga kura angalia kiambatanisho (attached file).
Thanks in advance Alexander
0 Comments