[wanabidii] UKILAZA NA PROPAGANDA ZITATUFIKISHA WAPI?

Tuesday, September 04, 2012
Ndugu Wanajamii,
Nimeona kuwapatieni nanyi taarifa ili kila mmoja wetu aweze kutakafari taarifa ya kwanza ya ukilaza na pili ya propaganda za polisi ambao wamekuwa ni sehemu ya siasa wanavyoonekana.  Nilitarajia huko Buubuu kwenye ufunguzi wa kampeni za CCM (siasa) na fiesta zinazoendelea zenye mikusanyiko kama ya Iringa nayo ikisambaratishwa na polisi.  What is so special Iringa.  Hili linahitaji mabadiliko ya kifikra na vitendo vya husika. Fuatilia hizi tovuti
 
 
 
Tutafika kweli!!!???
Judika
  

Share this :

Related Posts

0 Comments