[wanabidii] Mwandishi wa Tanzania Daima ametutoka!

Tuesday, September 25, 2012
Kuna taarifa nimezipata kuwa Mwandishi wa Habari wa Tanzania Daima, Agness Yamo amefariki dunia.

Taarifa za awali zinaeleza kwamba alifariki alfajiri ya leo.

Bila shaka wenye taarifa zaidi, hususani uongozi wa gazeti hilo ambalo watendaji wake wamo humu watatueleza zaidi.

Tunamkosa Agnes, tutaukosa ucheshi wake. Lakini ametangulia katika njia tutakayoipita, amepumzika mahali tutakapopumzika wote baada ya kukamilisha safari ya duniani.

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi-Amina

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments