[wanabidii] Mimi ninaandamana kesho

Tuesday, September 11, 2012
Siwezi kuandamana kwa kibali kilichotolewa na mtuhumiwa wa mauaji.
Mini binafsi nitaandamana kesho asubuhi tarehe 12 septemba, 2012
kuanzia Mbagala hadi Ofisi ya Umoja Mataifa na nitapeleka
malalamiko yangu juu ya kilichomfika kaka Daud Mwangosi.Nitaanza
maandamano hayo saa 3.00 Asubuhi kupitia Barabara ya Kilwa uwanja
wa Taifa Keko Karume na Uhuru na kumalizia Sokoine Drive .
Hakuna sare . Hii ni kwa wanaothubutu tu.

Kwa mawasiliano 0717649257.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments