[wanabidii] Vifo vya wakenya 11 na majeruhi 40

Tuesday, August 14, 2012
Wapendwa wanabidii,
 
Nimesikitishwa sana na taarifa za ajali za ndugu zetu wakenya (kikundi cha akina mama waliokuwa wanasafiri kwenda Dar kupitia Tanga). Nimesikiliza taarifa iliyorushwa kwenye Yu-tube - (website  Standard Digital News - http://www.standardmedia.co.ke/index.php?videoID=2000059604&video_title=wakenya-11-wafariki-katika-ajali-nchini-tanzania).
Inaonyesha kuwa helikopta imetoka Kenya kuwapeleka majeruhi kutibiwa Kenya. Ina maana kweli Tanzania tumeshindwa kutoa msaada wa kuwasaidia matibabu au hawa majeruhi walikuwa critical kiasi ambacho madaktari wa Tanzania wameshindwa? Au hatukuwa tayari kutoa msaada kwa majeruhi? Au nigharama kubwa sana za matibabu hapa nchini? au kwa vile Tanga ni karibu sana na nairobi? Naomba nisaidiwe maana nilikuwa najiuliza haya maswali imekuwaje kama tuko kwa jumuia moja.
 
Asanteni
Devolent 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments