[wanabidii] NBAA MNAKWAMISHA VIJANA KUJIAJIRI

Tuesday, September 23, 2014
Kila mwaka kuna mamia ya vijana wanahitimu CPA na baadhi yao wanaunganisha masomo ya shahada zao na wakati huo huo wanafanya mitihani ya CPA. Kwa mujibu wa taratibu za NBAA baada ya kupata CPA unatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa CPA holder aliyeidhinishwa pamoja na kuhudhuria semina mbalimbali zinazoandaliwa na NBAA ili kutimiza masaa yanayotakiwa ili uweze kusajiriwa kuendesha shughuli za ukaguzi au uhasibu.Hizi semina ni ghali kuhudhuria lakini pamoja na kuhudhuria na kukidhi taratibu bado MBAA kuna urasimu wa kusajiriwa ili CPA holders vijana wajiajiri. Orodha ya wahitimu mnayo mbona MNAKUWA HIVYO? Hebu waidhinisheni vijana waliotimiza masharti waachane na kuombaomba ajira nje ya utaalamu wao.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments