Kwa mujibu wa redio tehran usiku huu,waandishi wengi wa habari waliohojiwa na redio hio wamesema hawana imani na viongozi wao wa Jukwaa la wahariri wa Habari Tanzania.
Wamedai kwamba inaonekana viongozi hao either wamehongwa na ccm au wamekutana kwa siri na viongozi wa juu wa jeshi la polisi kabla ya kujitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa tamko lilosomwa juzi.
Wamedai wamekatishwa tama na viongozi ni hao kwa kuwaita wasaliti hasa kwa jinsi walivyolichukulia swala la kupigwa waandishi wa habari.Kwa mujibu wa redio hio waandishiwalitegemea watatoa msimamo thabiti kwa matokeo yaliotokea juzi kinyume chake wametoa tamko jepesi
Waandishi hao wamesema hawana imani tena na viongozi ha katika kutetea maslahi yao .
wamesema wataanza kampeni za kuwakataa ili wawapate viongozi wengine
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments