CHADEMA MBEYA VIPANDE VIPANDE, MWENYEKITI ATIMKIA ACT
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya ahamia ACT
Taarifa za hivi karibuni na za kushtua kabisa ni kwamba mwenyekiti wa chadema wilaya ya mbeya vijijini amebwaga manyanga na kujiunga na chama kipya cha ACT.
hali hiyo iliwashtua wengi leo hapa Mbeya ambapo mwenyekiti huyo wa CHADEMA amechaguliwa hivi majuzi kisha kukihama chama hicho na kujiunga na chama kipya cha ACT.
Tukio hili limetokea leo eneo la Nanenane jijini Mbeya, ni habari za kweli kabisa nimeshuhudia kwa macho yangu sijahadidhiwa,picha nitaweka baadaye kidogo.
mwenyekiti huyo wa wilaya ya Mbeya vijijini jina lake anaitwa ELIA KIOLILE na alitamka machache juu ya chama chake cha zamani kuwa demokrasia ndani CHADEMA ni finyu na inatamkwa kwa maneno tu na si kwa vitendo.
Pia akizungumzia vikosi vya chama hicho vya redbrigedi kuwa vinajihusisha na vitendo vya vitisho na mambo ya hatari kama kupiga watu na akasema hataki kuwa sehemu ya dhambi hizo na ndiyo maana ameamua kujiondoa licha ya nafasi aliyonayo ya uenyekiti wa chama wilaya nafasi ambayo alishinda kwenye uchaguzi wa majuzi kwa kupata asilimia 70% ya kura zote na kutangazwa mshindi.
Pamoja naye, wamehamia pia mtunza hazina wa wilaya Mbeya vijiji na mjumbe wa serikali ya mtaa kwa ticketi ya CHADEMA kata ya Nsalala mtaa wa Zambia road Mbalizi.
-- Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya ahamia ACT

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments